Mtuhumiwa apanda juu ya bati la mahakama akipinga kesi hiyo wilayani Tarime.soma zaid
SIKUBALI: Mtuhumiwa wa kesi ya kutishia kuua
kwa kisu na kujeruhi, Siza Patrick akiwa
amepanda juu ya bati la Mahakama ya Wilaya ya
Tarime akipinga kesi hizo mbili alizosomewa
mahakamani hapo jana. Mtuhumiwa huyo anadai
amebambikiwa kesi hizo. Picha na Dinna
Maningo.chanzo mwananch.
0 comments :
Post a Comment