Breaking News
Loading...

Advert

Friday, January 27, 2017

Nchi za Afrika zimeshauriwa kunako msukosuko wa uchumi Dunian.soma zaid

Mkuu wa shirika la fedha duniani bibi Christine
Lagarde ameyashauri mataifa yanayoendelea
hasa ya bara Afrika kujiepusha na athari za
msukosuko wa kiuchumi unaoikumba dunia kwa
sasa.
Miongoni mwa mapendekezo yake ni kwa
mataifa kujihadhari dhidi ya kuingia ubia na
mataifa mengine ambayo lengo lao kubwa ni
kunusuru uchumi wa nchi zao. Mataifa hayo
hufanya hivyo pale yanapogeuza Afrika kuwa
soko la bidhaa zao na huduma zao bila kujali
kwamba hii inasababisha ukosefu wa ajira
pamoja na kupungua kwa shughuli za uwekezaji
barani afrika.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top