Breaking News
Loading...

Advert

Thursday, January 19, 2017

Wagambia 26,000 wakimbia nchi yao.soma zaid

:Takribani Raia 26,000 wa nchini
Gambia wameikimbia nchi yao kuhofia kuibuka
kwa machafuko kutokana na mvutano wa kisiasa
uliopo nchini humo baada ya Rais wa nchi hiyo
Yahya Jammeh kukataa kuondoka madarakani.
Raia hao wa Gambia wameamua kukimbilia nchi
jirani ya Senegal kujitafutia hifadhi.picha kwa hisani ya itv.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top