Breaking News
Loading...

Advert

Wednesday, May 17, 2017

Mauaji tena mwenyekiti wa CCM apigwa risasi.soma zaid

Taarifa za hivi punde ni kuwa kuna
kiongozi mwingine wa CCM huko Kibiti
ameuawa kwa kupigwa risasi na watu
wasiojulikana usiku huu. huo ukanda
sasa hali si shwari.
Habari zaidi zitaendelea kuwafikia kadri
zinavyopatikana.
=====
UPDATE 1:
Mwenyekiti wa CCM tawi la njia nne, Kata
ya Mtunda, amepigwa risasi na kuuawa
usiku huu. Mtoto wake amejeruhiwa kwa
risasi ya Tumbo.
Hii ni taarifa ya awali kutoka eneo la
tukio.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top