Msafara wa timu ya Ruvu shooting umepata ajali mbele kidogo ya Singida soma zaid
Msafara wa timu ya Ruvu Shooting umepata ajali
mbele kidogo ya Singida wakiwa safarini kurejea
Dar es Salaam.
Taarifa kutoka kwa mmoja wachezaji
waliokuwapo inasema kwamba gari likiwa katika
Mwendo tairi lilipasuka na kusababisha gari
kuhama njia na kuparamia miti iliyokuwa jirani.
Hakuna mtu yoyote aliyeumia sana japo kuna
mchezaji mmoja ambaye amepata majeraha ya
kawaida.chanzo habar leo
0 comments :
Post a Comment