Breaking News
Loading...

Advert

Thursday, June 15, 2017

Mbunge Joseph Msukuma anataka mawazir wafanyiwe ' interview' kabla ya kuteuluwa ,ahoji uhalali wa digrii zao.soma zaid



Dodoma. Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph
Kasheku maarufu kwa jina la Msukuma, ametaka
mawaziri kufanyiwa usahili kabla ya kuteuliwa
kushika nafasi hizo kutokana na baadhi yao kuwa
na elimu ya juu, lakini wanashindwa kutekeleza
majukumu yao kikamilifu.
Akichangia katika hotuba ya Bajeti Kuu leo
Alhamisi bungeni mjini hapa, Msukuma amesema
walioaminiwa na kupewa nafasi hizo wamekuwa
wakitajwa kwenye kashfa kubwa.
"Wengine wamegushi vyeti, tukiangalia wana
madigrii huenda wengine wana uwezo mdogo
wanazidiwa na makaratasi makubwa,"amesema.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top