Baada ya ukimya Askofu gwajima aibuka na haya.soma zaidu.
Askofu Josephat Gwajima amepinga kauli ya
mkuu wa mkoa wa Arusha ya kutaka kuyadhibiti
makanisa ya kilokole katika makazi ya watu.
-Amesema Tanzania ni nchi yenye uhuru wa
kuabudu kila mtu ana haki ya kuabudu
anavyotaka.
0 comments :
Post a Comment