Breaking News
Loading...

Advert

Wednesday, April 13, 2016

Huku tanzania ikiwa na neema ya chakula nchini malawi hali sio swari mamia wafaa kwa njaa.soma zaid

Rais wa Malawi, Peter Mutharika, ametangaza
nchi kuwa katika hali ya dharura baada ya
mamilioni ya wananchi kukumbwa na janga la
njaa lililosababishwa na ukame wa muda mrefu.
Nini kifanyike kuhakikisha kuna chakula cha
kutosha Afrika?chanzo dw.swahil

0 comments :

Post a Comment

Back To Top