Mbunge saed kubenea amekutwa na hatia ya kumtolea matusi mh.poul makonda.soma zaid.
Habari kutoka mahakama ya Kisutu
zinasema kuwa mbunge Saed Kubenea
amekutwa na hatia kwenye mashitaka
yanayomkabili.
Mbunge huyo anakabiliwa na shitaka la
kumtolea maneno machafu Mh Paul
Makonda ambaye alikuwa mkuu wa wilaya
ya Kinondoni.
Kubenea na Wabunge wa upinzani
wanapaswa kujua kuwa matusi hayajengi.
Nitaendelea
Hakimu kamhukumu kwamba katika
miezi mitatu kuanzia leo asijihusishe
kutoa lugha ya matusi kwa mtu yeyote
yule!
0 comments :
Post a Comment