Kigogo Tannesco ashinda kesi ya ufisadi mahakamani.soma zaid.
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Umeme
Tanzania (Tanesco), William Mhando, mke wake
Eva Mhando, walifikishwa katika Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam
wakikabiliwa na mashitaka sita ikiwemo matumizi
mabaya ya madaraka, kughushi na kujipatia
fedha kwa njia ya udanganyifu.
Mhando alikuwa anatuhumiwa kwa matumizi
mabaya ya madaraka kwa kuipa zabuni Kampuni
ya Santa Clara Supplies Ltd huku akijua ana
maslahi nayo na kwamba anaimiliki yeye, mke na
watoto wake.
April 14 2016 Mahakama ya Hakimu mkazi kisutu
Dar es salaam imemuachia huru baada ya kuona
hana hatia kwa kuwa upande wa mashtaka
umeshindwa kuthibisha juu ya matumizi mabaya
ya ofisi kwani Mhando alikuwa haingii kwenye
vikao vya maamuzi ya bodi ya Tanesco kwa hiyo
alikuwa hana ushawishi wa moja kwa moja
kushawishi kwamba kampuni hii ya Santa Clara
ambayo ni ya mke wake kwamba ipatiwe tendo
0 comments :
Post a Comment