Kwa sitail hii ni kweli kuna watu wameigeuza nchi hii kama shamba la bibi.soma zaid.
Mhandisi wa maji katika halmashauri ya
wilaya ya Rorya Bw Emmanuel Masanja,
amekamatwa na jeshi la polisi kwa amri ya mkuu
wa wilaya hiyo baada ya kutuhumiwa kuhusika
na ubadhilifu wa kiasi cha zaidi ya shilingi milioni
mia moja zilizolewa na ofisi ya waziri mkuu kwa
ajili ya ukarabati wa mradi wa maji katika mji
mdogo wa Shirati wilayani humo.chanzo radio one.
0 comments :
Post a Comment