Breaking News
Loading...

Advert

Monday, April 18, 2016

TANESCO na kampuni ya symbion wameburuzwa mahakamani.soma zaid.

ANESCO na Kampuni ya Symbion Tanzania
wameburuzwa kortini na Kampuni toka Falme za
Kiarabu wakidaiwa Sh. Bilioni 560 kama fidia
-Fedha hizo zinatokana na kazi zilizofanywa na
kampuni hiyo ya Uarabuni ya kusambaza,
kusimika na kuendesha mitambo ya kuzalisha
umeme ambayo ilikodishwa na Symbion kwa
matumizi ya miradi mbalimbali ya kuzalisha
umeme

0 comments :

Post a Comment

Back To Top