Breaking News
Loading...

Advert

Sunday, April 10, 2016

Unazungumziaje suala ya kuingiza sukari ya kigeni kupitia mipakani mwa nchi.

Hali ya uigizwaji wa bidhaa za magendo hapa
nchini imekuwa ni changamoto ya muda mrefu
na imeendelea kuleta mvurugano kwenye soko la
bidhaa mbalimbali hapa nchini.

Kilwa mkoani Lindi shehena ya sukari
imekamatwa ikitokea India na Brazil, Mkurugenzi
wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi (TRA),amesema.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top