Breaking News
Loading...

Advert

Thursday, May 19, 2016

Donard Trump anavyoendelea kuwa maarufu kwenye siasa ndio mauzo kwenye biashara zake yanavyoongezeka.soma zaid.

Mapato ya biashara za Donald Trump
yameongezeka kwa dola milioni 190 tangu tajiri
huyo kuwania urais wa Marekani kulingana na
nakala mpya za kifedha.
Wito wake wa kuwazuia Waislamu kuingia nchini
Marekani pamoja na kuwafurusha mamilioni ya
wahamiaji wasio na vibali haukuathiri biashara
zake.
Kampuni kadhaa zilivunja uhusiano wake na bw
Trump wakati alipozindua kampeni yake.
Kitabu chake cha hivi karibuni ,Crippled
America,kilipata kati ya dola milioni 1 na 5 ya
mrahaba,kulingana na Trump.
Mapato yaliongezeka maradufu katika hoteli ya
Mar-a-Lago iliopo mjini Florida kutoka dola milioni
16 hadi milioni 30.kampuni yake ya maji ,Trump
Ice pia ilikuwa.chanzo bbc

0 comments :

Post a Comment

Back To Top