Breaking News
Loading...

Advert

Saturday, May 14, 2016

Hakika anayefanya vizuri anasitahili pongezi kwa hili yanga wanasitahil pongezi kwa kutwa ubingwa wa ligi kuu Tz.

Jana ilikuwa siku lasimi kwa timu ya yanga kukabidhiwa ubigwa wa liku kuu mwaka 2015-2016.ni dhahili walisitahil pongezi kwa maana wao ndio washindi hatuna budi kuwa pongeza na kuwapa molali lakni pia kwa upande wa timu zingine zijichunguze ni wapi zilipo kosea ili bazo ziweze kutwa ubingwa ujao.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top