Hawa ni makocha wapya wa Azam kutoka hispania.soma zaid.
RITHI WA HALL AMALIZANA NA AZAM FC
❖ KLABU ya Azam mchana huu imewapokea
makocha wawili kutoka Hispania, Zeben
Hernandez na msaidizi wake, Jonas Garcia kwa
ajili ya kuinoa timu hiyo kwa msimu ujao wa Ligi
Kuu Bara.
0 comments :
Post a Comment