Breaking News
Loading...

Advert

Friday, May 13, 2016

Huyu hapa ni mwanamke wa kwanza kuchakuguliwa kuwa katibu mkuu wa FIFA.

Shirikisho la kandanda duniani
limetangaza katibu mkuu mpya. Fatma Samoura,
kutoka Senegal anakuwa mwanamke wa kwanza
kushika wadhifa huo katika historia ya Fifa. Rais
mpya wa Fifa Gianni Infantino aliahidi mabadiliko
katika Fifa mpya. Chanzo bbc

0 comments :

Post a Comment

Back To Top