Breaking News
Loading...

Advert

Tuesday, May 10, 2016

Hizi hapa tozo za nauli Daraja ya nyerere

Serikali imetangaza viwango vya tozo kwa
watumiaji daraja la Nyerere, Kagamboni.
Bodaboda kulipia Shilingi 600.
Magari madogo shilingi 1500.
Tozo hizo kuanza kutumika kuanzia
Jumamosi.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top