Zungu apewa tena lungu uwenyeti wa bunge.soma zaid
Muda si mrefu Mbunge wa Jimbo la Ilala,
ndugu Musa Hassan Zungu ameteuliwa
rasmi na Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania kuwa tena Mwenyekiti wa
Bunge hilo kwa mara ya pili.
Ikumbuke Zungu aligombania nafasi ya
Naibu Spika ila hakufanikiwa.
Updates zinafuatwa..
0 comments :
Post a Comment