Breaking News
Loading...

Advert

Friday, May 6, 2016

Makandarasi 4000 hapa nchini wafutiwa leseni za usajili kampuni za ukandaradi.soma zaid.

Bodi ya usajili wa Makandarasi nchini
imezifutia leseni za usajili kampuni za ukandarasi
zaidi ya 4000 kati ya kampuni 12000 za
kizalendo baada ya kubaini hazinauwezo wa
kutekeleza miradi ya maendeleo ya jamii ili
kunusuru upotevu wa fedha za umma.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top