Ripot ya FIFA timu ya taifa ya Argentina bado inaongoza kwa ubora duniani.soma zaid.
Timu ya taifa ya Argentina bado inaongoza
orodha ya kila mwezi ya FIFA ya timu bora
duniani ambayo imetolewa Ijumaa.
Kwenye orodha hiyo timu ya taifa ya Ubelgiji iko
kwenye nafasi ya pili ikifwatiwa na
Chile.Ujerumani ni ya 5,ikifwatiwa na Uhispania
na Brazil inachukua nafasi ya saba.
Timu ya bara la Afrika inayochukua nafasi nzuri
kwenye orodha hiyo ya FIFA ni Algeria iliopo
katika nafasi ya 33 ikifwatiwa na Ivory Coast
katika nafasi ya 34.
Kwa nchi za Afrika mashariki Uganda 72;Rwanda
87 kenya 116 Burundi 122 na Tanzania
inachukua nafasi ya 129 kwenye orodha hiyo ya
FIFA.
0 comments :
Post a Comment