Mashua kutoka urusu imezuiliwa na walinzi wa korea kasikazini.soma zaid.
Mashua kutoka Urusi imezuiliwa na walinzi wa
pwani wa Korea Kaskazini, katika Bahari ya
Japan, ikiwa na watu watano.
Ripoti zinasema mashua hiyo ilizuiliwa wakati
ilipokuwa inarudi Urusi, baada ya kushiriki
kwenye mashindano ya mashua.
Wanabalozi wa Urusi wanataka watu
waliokuwemo kwenye mashua hiyo waachiliwe
huru haraka, na kwa sasa inaomba ruhusa ya
kuwazuru.
Kawaida Urusi ni moja kati ya nchi chache,
zenye uhusiano wa karibu na Korea Kaskazini.chanzo bbc.
0 comments :
Post a Comment