Breaking News
Loading...

Advert

Monday, May 9, 2016

Mchungaji mbaroni kwa kukutwa na meno ya tembo mkoani katavi.

Jeshi la Polisi mkoani Katavi
linawashikilia watu watano akiwemo Mchungaji
wa Kanisa la Moravian kijiji cha Usevya kwa
kukutwa na nyara za serikali vikiwemo vipande
kumi na moja (11) vya meno ya tembo vyenye
uzito wa kilo ishirini nukta tatu (20.3)
walivyokuwa wamehifadhi katika mfuko wa
sandarusi na kufichwa ndani ya kanisa hilo.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top