Breaking News
Loading...

Advert

Monday, May 9, 2016

Mifuko ya hifadhi ya jamii imeshauliwa kujenga viwanda ili kuogeza ajira.

:Rais John Magufuli ameiagiza mifuko ya
hifadhi ya jamii kuacha tabia ya kujenga vitega
uchumi vya majengo makubwa yanayokodishwa
kwa fedha nyingi ambayo hayawasaidii wananchi
wa kawaida badala yake waweke vitega uchumi
vitakavyo saidia kutengeneza ajira kwa wananchi
hasa vijana wanaoteseka kwa kukosa ajira ya
uhakika.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top