Wandishi wa habari wa bbc wamefukuzwa korea ya kasikazini.soma zaid.
Jinsi Korea Kaskazini inavyowatendea
wanahabari wa kimataifa inadumaza taswira
iliyokarabatiwa vyema na serikali ya Kim Jong Un
inayowasilishwa katika mkutano wa chama.chanzo Dw swahil.
unaoendelea mjini Pyongyang.
Korea Kaskazini iliwafukuza wanahabari wa BBC
leo Jumatatu, inaonekana kwasababu maafisa wa
serikali hawakupendezwa na ripoti zao. Rupert
Wingfield-Hayes, ambaye ni mwandishi wa BBC
mjini Tokyo, pamoja na mzalishaji Maria Byrne na
mpiga picha Matthew Goddard, walizuiliwa siku
ya Ijumaa wakati wakiwa karibu kuondoka nchini
humo.
Wingfield-Hayes alihojiwa kwa muda wa saa
nane. Wanahabari hao wa BBC walikuwa Korea
Kaskazini kabla ya mkutano wa Workers Party
Congress wakifuatana na ujumbe wa tuzo ya
Nobel ambao walikuwa wanafanya utafiti.
0 comments :
Post a Comment