Breaking News
Loading...

Advert

Thursday, May 12, 2016

Rais wa brazil asimamishwa kazi ya urais kwa siku 180 na huyu ndio mridhi wake wa mda soma zaid.

Bunge la Seneti Brazil hivi punde limepiga kura
kuamua kuidhinisha kura ya kutokuwa na imani
dhidi ya kiongzi wa taifa hilo Dilma Rousseff.
Atasimamishwa kazi ya urais kwa siku zisizozidi
180 wakati bunge hilo la Seneti litakagua tuhuma
zinazomkabili.
Bi Rousseff anatuhumiwa kubadili kinyume cha
sheria fedha za serikali kuficha nakisi
inayoongezeka ya umma kufuatia kuchaguliwa
kwake tena mnamo 2014, tuhuma anazozikana.
Masenata 55 waliunga kuidhinishwa kura hiyo ya
kutokuwana imani dhidi ya 22 bungeni katika
kikao cha zaidi ya saa 20.
Makamu wa rais Michel Temer sasa ndio
atashikilia madaraka wakati kesi dhidi ya Bi
Rousseff inaendelea.
Rousseff alichukua hatua ya mwisho kujiokoa
kwa kukataa rufaa katika mahakama ya juu zaidi
nchini humo kusitisha kura hiyo, lakini hatua hiyo
ilipingwa.chanzo bbc swahi.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top