Breaking News
Loading...

Advert

Sunday, May 8, 2016

Rais wa korea kasikazini amesema tutaendelea kujilinda kwa kutumia silaha za nyukilia.soma zaid.

Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong-un
amesema kuwa Korea itatumia silaha zake za
nyukilia kulinda uhuru wa Taifa hilo .Kiongozi
huyo wa taifa lenye usiri mkubwa Kim Jong-un
aliwaelezea wajumbe wa kamati kuu ya chama
tawala cha wafanyakazi mjini Pyongyang kuwa
jeshi lao litatumia silaha hizo za nyuklia dhidi ya
mahasimu watakao tishia Uhuru ya Nchi ya
Korea.
Mara kadhaa serikali ya Korea Kaskazini
imetishia kushambulia Marekani na Korea Kusini
kwa mabomu ya kinyukilia.chanzo bbc

0 comments :

Post a Comment

Back To Top