Wazir mkuu mpya wa new zealand ametupwa nje ya bunge .soma zaid
Waziri Mkuu mpya wa New Zealand John Key
ametupwa nje ya bunge na spika baada ya
kukaidi kufuata kanuni za bunge.
Bunge hilo limekua na mjadala mkali kuhusu
sakata ya akaunti za siri ambazo zinadaiwa
kuwepo kisiwa cha Panama.
Spika wa Bunge David Carter ametetea hatua
yake na kusema Waziri Mkuu alikaidi onyo la
kutoheshimu kanuni za bunge, na hivyo hakua na
kinga ila kumuadhibu, kama wabunge wengine.
Rekodi za bunge zimenakili kwamba Waziri Mkuu
huyo aliwahi kutupwa nje ya bunge mara tatu
wakati akiwa mbunge.
Hata hivyo si mara ya kwanza Waziri MKuu
NewZealand anatupwa nje ya bunge.
Waziri Mkuu wa zamani Helen Clark alitupwa nje
mwaka 2005 huku naye mtangulizi wake, David
Lange akijipata pabaya miaka ya 1986 na 1987.bbc swahil
0 comments :
Post a Comment