Breaking News
Loading...

Advert

Monday, June 6, 2016

Alichokifanya msanii Diamondi hii leo kwa taifa lake anafaa kuigwa na wadau wengine wa maendeleo.soma zaid.


siku ya Ijumaa, msanii Diamond Platinumz
aliahidi kuna tukio kubwa atafanya siku ya J'tatu.
Na leo hii ametimiza ahadi hiyo baada ya
kumkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Paul Makonda, mchango wa madawati 600.
Kama mtanzania mzalendo, tupia neno moja la
pongezi kwake

0 comments :

Post a Comment

Back To Top