Breaking News
Loading...

Advert

Thursday, June 16, 2016

Baadhi ya wanawake DRC wanadaiwa kutumia dawa ili kurejesha tena ubikira.soma zaid.

Baadhi ya wanawake nchini Jamuhuri ya
kidemokrasia ya Congo wanadaiwa kutumia dawa
ili kurejesha tena ubikira wao kwa lengo la
kujiongezea thamani wakati wanapofunga ndoa.
Inaaminika kuwa hicho ni moja ya vigezo muhimu
kuonyesha kuwa msichana alikua na kulelewa
katika maadili mazuri nyumbani kwao kwa mjibu
wa mila na desturi zao.
Je dawa hizi zipo?
Je dawa hizo zinaweza kurejesha heshima hiyo
hata kama msichana alikuwa kwenye mahusiano
tayari?chanzo bbc swahili.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top