Breaking News
Loading...

Advert

Sunday, June 5, 2016

Mabomu ya machozi yamerindima kuwatawanya wananch wilayani rombo mkoan kilimanjaro.soma zaid.

Moshi. Polisi wa Kutuliza Ghasisi (FFU) mkoani
Kilimanjaro wametumia mabomu kuwatawanya
wananchi wa eneo la Tarakea wilayani Rombo,
waliokusanyika kutaka kuwekewa
matuta,mwendesha pikipiki kugongwa na lori la
kubeba magogo na kufa papo hapo, wananchi
walianza kuhamasishana na kufunga barabara.
Kamanda wa Polisi Mkoa Kilimanjaro, Wilbroad
Mutafungwa hakupatikana kuelezea tukio, lakini
Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo
alithibitisha kutokea kwa vurugu hizo.
“Tumetumia busara zote kuhakikisha barabara
hiyo inafunguliwa lakini ikashindikana, hivyo
polisi na Serikali tukalazimika kutumia nguvu,”
alisema Kipuyo.chanzo mwananch.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top