Breaking News
Loading...

Advert

Tuesday, July 19, 2016

Dodoma hapatoshi huku shangwe na nderemo zikianza.soma zaid

SHANGWE, MBWEMBWE NA NDEREMO ZA CCM
ZAANZA KUSHAMIRI KATIKA MITAA YA MJINI
DODOMA
Zikiwa zimesalia siku nne kabla Rais John
Magufuli kuchaguliwa na Mkutano Mkuu wa
Chama cha Mapinduzi kuwa Mwenyekiti wa
chama hicho, mjini wa Dodoma umeendelea
kupambwa bendera za chama hicho katika
maeneo mbalimbali.
Zaidi ya vijana 70 wa CCM wamefanya kazi ya
kuzunguka maeneo mbalimbali ya mji huo
wakipamba kwa kuweka bendera mitaa na baadhi
ya vyombo vya usafiri ikiwemo magari, bajaji,
pikipiki hadi kwa wafanyabiasha ambao ni
wapenzi wa chama hicho.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top