Breaking News
Loading...

Advert

Saturday, July 16, 2016

Hali ya taharuki yaendelea nchini uturuki.soma zaid.


- Kuna baadhi ya vikosi vimeasi kwa
mujibu wa cnn
Military jets flying low in capital city
- Njia zote muhimu zimefungwa,anga ya
Turkey imefungwa
Wanajeshi wanafanya patrol
- Mawasiliano yako disrupted. Mpaka sasa
bado haijaelewaka mamlaka ya nchi yupo
kwa nani?
- Majeshi yametangaza kushika nchi. Rais
inasemekana yupo salama ila haijasemwa
wapi yupo
- Martial Law imposed in Turkey - State
Broadcaster
- Rais Erdogan amejitokeza kwenye local
channel kasema yupo salama bado
anaongoza nchi
Amewataka wananchi waenda kwenye
public squares na viwanja vya ndege.
Hatakubali watu wachache wachezea
democrary ya Uturuki
- US is aware coup is underway in Turkey
but dont know who is winning
- Stock exchange around the world are
declining. Oil price up 2%
- Mapigano na milio ya silaha yasikika
katikati ya Ankara. Helikopta zarusha
makombora kwenye makao makuu ya ofisi
ya ujasusi
- US government trying so hard to re-
instate Erdogan to power by mobilizing
demostration against the coup. Coup
leaders communication devices jammed
- Unrest can happen anytime unless one
side win before sun rises
- Column of military tanks advance on
prime minister palace
- Milio ya risasi yarindima mjini Ankara
Wanajeshi wanamuunga mkono Rais
Erdogan waanza kukabilina na waasi
- Rais Erdogan arejea Ankara. Waasi
wameanza kukamatwa
- Dalili zote za mapundizi kushindwa ziko
wazi
- Wananchi wameandamana kupinga
jaribio la mapinduzi ya kijeshi
- Miji ya Ankara na Instabul maandamano
ni makubwa,
- Raia wanazuia vifaru na magari ya
kijeshi kwa kufunga Njia kwa
maandamano
- Helikopta iliyokua inafanya mashambulizi
imedunguliwa na ndege ya kijeshi F16
- Wanajeshi watiifu wamefanikiwa kuzima
jaribio la mapinduzi ya kijeshi. Rais
Erdogan atuhumu kiongozi wa kiroho
anayeishi Marekani kuwa ndio mhusika
mkuu wa jaribio hili.
- Mpaka sasa watu 60 wamefariki wengi
ni polisi waliokua wanalinda jengo la
Bunge
- Wanajeshi waasi wamejisalimisha
- Jaribio la kupinduzi serikali ya Rais
Erdogan limezimwa na serikali yake bado
iko madarakani

0 comments :

Post a Comment

Back To Top