Breaking News
Loading...

Advert

Friday, July 22, 2016

Haya ni maneno ya Prof.Issa shivji kuhusu Elimu ya Tanzani.soma zaid


"Kuna mazumgumzo marefu na mapana juu ya
kuboresha elimu – madarasa yanajengwa,
madawati yanatengenezwa. Sawa kabisa.
Inafurahisha. Lakini elimu siyo madawati wala
kuta za madarasa. Elimu ni waalimu. Waalimu
ndiyo msingi wa elimu, waalimu ndiyo nguzo za
elimu. Waalimu ndiyo paa za elimu. Ukitaka
kuboresha elimu, boresha maisha ya waalimu.
Inanihuzunisha sana kuona jinsi waalimu wetu
wanavyoishi. Hata hawana mahali pazuri
pakujistiri." Profesa Issa Shivji

0 comments :

Post a Comment

Back To Top