Katibu mkuu wa chama cha ODM nchini kenya ajiuzulu.soma zaid.
Chama kikuu cha upinzani nchini Kenya ODM
kimepata mtikisiko baada ya kujiuzulu kwa katibu
mkuu wake Ababu Namwamba. Namwamba
ambaye anatishia kuuvunjilia mbali umoja wa
chama hicho aliingia madarakani miaka miwili
iliyopita.
0 comments :
Post a Comment