Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu yuko Rwanda leo.soma zaid.
NETANYAHU RWANDA
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu yuko
ziarani Rwanda. Barabara kadha mjini Kigali
zimefungwa kwa ajili ya usafiri na usalama wake.
Wenye magari na watembea kwa miguu
hawaruhusiwi kuzitumia. Picha/YVEZ BUCYANA
0 comments :
Post a Comment