Breaking News
Loading...

Advert

Tuesday, July 19, 2016

Kiwanda cha nguo cha 21st chateketea kwa moto asubuhi ya leo.soma zaid

Moto umezuka na kuteketeza Kiwanda cha
Nguo cha 21st Century au Polister
kilichopo maeneo ya Kihonda Mkoani
Morogoro asubuhi hii, chanzo cha moto
huo bado hakijafahamika mpaka sasa na
pia haijafahamika ni hasara kiasi gani
imetokea kiwandani hapo na jitihada za
kuuzima moto huo zinaendelea. ⁠⁠⁠Kiwanda
hicho ni moja ya viwanda vichache
vinavyofanya kazi ambapo kwa sasa
kilikua kinatengeneza khanga na vitenge
tangu enzi za Baba wa Taifa Mwalimu
Julias K. Nyerere.
Moja ya Gari la Jeshi la Polisi likiwa
katika jitihada za kuuzima moto huo.
MICHUZI BLOG at Tuesday, July 19, 2016

0 comments :

Post a Comment

Back To Top