Mwanamke mmoja amekutwa amefariki nyumbani kwake.soma zaid.
wili wa Mkazi wa Jiji la Mbeya
aliefahamika kwa Majina "Koleta Kasoso"
kabila "Mnyamwanga" aliekuwa akiishi
katika Mji wake katika Kata ya Manga 'A'
Jijini Mbeya Mkoa wa Mbeya, Amekutwa
akiwa amefariki Dunia Asubuhi ya leo,
chanzo cha Kifochake bado
hakijafahamika bali alikutwa akiwa
amedondoka chini karibu na Mlango wa
Sebule yake.
Baadhi ya Majirani, Ndugu, Jamaa na
Marafiki wakiwa katika Simanzi na
Huzuni.
Jeshi la Polisi lilifika pia katika Eneo la
tukio na kuuchukuwa Mwili wa Marehemu
kuajili ya upelelezi zadi.
Mwili wa Marehemu Ukipelekwa
Mochwari.chanzo michuzi blog
0 comments :
Post a Comment