Tanzania yapanda kwa nafasi 13 viwango vya FIFa kutoka nafasi 136 hadi 123.soma zaid.
TANZANIA yapanda kwa nafas 13 viwango
vya FIFA kutoka nafasi ya 136 hadi 123.
Argentina imeendelea kushikilia nafasi ya
kwanza kidunia akifuatiwa na Colombia
huku timu za bara la Amerika ya Kusni
likitesa kwa kuingiza timu nne kwnye tano
bora na timu kutoka bara la Ulaya
wakiingiza timu.moja ikiwa ni Ujerumani.
Mabingwa wa Ulaya, Ureno wameshika
nafasi ya sita huku Brazil wakishuka hadi
nafasi ya tisa, Uingereza wameporomoka
mpaka nafasi ya 13 na Wales wakipanda
kutoka nafasi ya 15 hadi 11.
Bara la Afrika limeonekana kupotea hasa
baada ya kushindwa kuingia hata timu
moja kwenye 20 bora na Algeria wakishika
nafasi ya 32 huku Ivory Coast wakichukua
nafasi ya 35.
0 comments :
Post a Comment