Nchi ya sudani kusini inamadakitari 2 wa magonjwa ya akili.soma zaid.
Mzozo wa Sudan Kusini ambao umedumu kwa
miaka miwili na nusu umewaathiri vibaya raia
kiakili, katika taifa ambalo lina madaktari wawili
tu wa kushughuilikia matatizo ya akili miongoni
mwa raia milioni kumi na moja. Hayo ni kulingana
na ripoti ya shirika la kimataifa la kutetea haki za
binadamu la Amnesty International.
0 comments :
Post a Comment