Rais amefanya uteuzi wa viongozi wa taasisi mbalimbali za serikal pia yumo mrema.soma zaid.
July 16 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa
mamlaka aliyopewa amefanya uteuzi wa viongozi
na watendaji wa taasisi mbalimbali za Serikali na
pia amewapandisha vyeo maafisa wa Jeshi la
Polisi Tanzania.
Uteuzi huo ni kama ifuatavyo;
Augustino Lyatonga Mrema.
⦁ Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa
ya Parole kwa kipindi cha miaka mitatu, kuanzia
leo tarehe 16 Julai, 2016.
⦁ Augustino Lyatonga Mrema anachukua nafasi
iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Mhe. Eusebia
Nicholaus Munuo ambaye muda wake
umemalizika.
Prof. William R. Mahalu
⦁ Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete. Uteuzi huu
umeanza leo tarehe 16 Julai, 2016.
Prof. Mohamed Janabi
⦁ Ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete. Uteuzi huu
umeanza tarehe 15 Julai, 2016.
Prof. Angelo Mtitu Mapunda
⦁ Ameteuliwa kuwa Kamishna wa Tume ya
Utumishi wa Mahakama kwa kipindi cha miaka
mitatu. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai,
2016.
Sengiro Mulebya
⦁ Ameteuliwa kuwa Kamishna wa Tume ya
Utumishi wa Mahakama kwa kipindi cha miaka
mitatu. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai,
2016.
Oliva Joseph Mhaiki
⦁ Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya
Utumishi wa Walimu (TSC). Uteuzi huu umeanza
tarehe 15 Julai, 2016.
Winifrida Gaspar Rutaindurwa
⦁ Ameteuliwa kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi
wa Walimu (TSC). Uteuzi huu umeanza tarehe 15
Julai, 2016.
Charles Rukiko Majinge
⦁ Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya
wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Uteuzi huu umeanza leo tarehe 16 Julai, 2016.
Dkt. Julius David Mwaiselage
⦁ Ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa
Hospitali ya Taasisi ya Saratani ya Ocean Road.
Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.
Aidha Rais Magufuli amewapandisha vyeo
maafisa 25 wa Jeshi la Polisi kutoka cheo cha
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)
na kuwa Naibu Kamishna wa Polisi (DCP).
Waliopandishwa vyeo hivyo ni kama ifuatavyo;
⦁ Essaka Ndege Mugasa
⦁ Adamson Afwilile Mponi
⦁ Charles Ndalahwa Julius Kenyela
⦁ Richard Malika Revocatus
⦁ Geofrey Yesaya Kamwela
⦁ Lucas John Mkondya
⦁ John Mondoka Gudaba
⦁ Matanga Renatus Mbushi
⦁ Frasser Rweyemamu Kashai
⦁ Ferdinand Elias Mtui
⦁ Germanus Yotham Muhume
⦁ Fulgence Clemence Ngonyani
⦁ Modestus Gasper Lyimo
⦁ Mboje John Shadrack Kanga
⦁ Gabriel G.A. Njau
⦁ Ahmed Zahor Msangi
⦁ Anthony Jonas Rutashubulugukwa
⦁ Dhahir Athuman Kidavashari
⦁ Ndalo Nicholus Shihango
⦁ Shaaban Mrai Hiki
⦁ Simon Thomas Chillery
⦁ Leonard Lwabuzara Paul
⦁ Ahmada Abdalla Khamis
⦁ Aziz Juma Mohamed
⦁ Juma Yussuf Ally
Aidha, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
amewapandisha vyeo maafisa wa Jeshi la Polisi
wengine 34 kutoka cheo cha Kamishna Msaidizi
wa Polisi (ACP) na kuwa Kamishna Msaidizi
Mwandamizi wa Polisi (SACP).
Waliopandishwa vyeo hivyo ni kama ifuatavyo;
⦁ Fortunatus Media Musilimu
⦁ Goyayi Mabula Goyayi
⦁ Gabriel Joseph Mukungu
⦁ Ally Omary Ally
⦁ Edward Selestine Bukombe
⦁ Sifael Anase Mkonyi
⦁ Naftari J. Mantamba
⦁ Onesmo Manase Lyanga
⦁ Paul Tresphory Kasabago
⦁ Dadid Mshahara Hiza
⦁ Robert Mayala
⦁ Lazaro Benedict Mambosasa
⦁ Camilius M. Wambura
⦁ Mihayo Kagoro Msikhela
⦁ Ramadhani Athumani Mungi
⦁ Henry Mwaibambe Sikoki
⦁ Renata Michael Mzinga
⦁ Suzan Salome Kaganda
⦁ Neema M. Mwanga
⦁ Mponjoli Lotson
⦁ Benedict Michael Wakulyamba
⦁ Wilbroad William Mtafungwa
⦁ Gemini Sebastian Mushi
⦁ Peter Charles Kakamba
⦁ Ramadhan Ng’anzi Hassan
⦁ Christopher Cyprian Fuime
⦁ Charles Philip Ulaya
⦁ Gilles Bilabaye Muroto
⦁ Mwamini Marco Lwantale
⦁ Allute Yusufu Makita
⦁ Kheriyangu Mgeni Khamis
⦁ Nassor Ali Mohammed
⦁ Salehe Mohamed Salehe
⦁ Mohamed Sheikhan Mohamed
Maafisa hawa wa Jeshi la Polisi Tanzania
wamepandishwa vyeo kuanzia July 15 2016.
0 comments :
Post a Comment