Breaking News
Loading...

Advert

Sunday, July 17, 2016

Rwana wakataa kumkamata Rais wa sudan omar Al Bshir.soma zaid

Wakati huhuo Rais wa Sudan Omar al Bashir
yuko nchini Rwanda kuhudhuria mkutano wa
kilele wa viongozi wa mataifa ya Afrika,
akidaiwa kupuuza waranti ya kukamatwa kwake
iliyotolewa na mahakama ya kimataifa
inayoshughulikia kesi za uhalifu ya ICC.
Tiyari serikali ya Rwanda kupitia waziri wake wa
Mambo ya Nje Louise Mushikiwabo, imetangaza
nchi yake haiko tayari kumkamata Rais wa
Sudan Omar Al Bashr ambaye naye anahudhuria
kikao hicho.
Mkutano huo wa Umoja wa Afrika unaoendelea
mjini Kigali, mbali na kuzungumzia hali ya
usalama kwa nchi za Afrika pia unazungumzia
mahusiano tete baina nchi hizo za Afrika na
mahakama hiyo ya ICC, ambayo baadhi
wanasema inalenga zaidi viongozi wa Kiafrika.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top