TBS imefunga kiwanda cha kuchakata vilainishu Dar.soma zaid.
Shirika la viwango Tanzania -TBS limekifungia
kiwanda bubu cha kuchakata vilainishi ambacho
kipo katika eneo la temeke sambamba na
kumkamata mmiliki wa kiwanda hicho kwa
kukiuka misingi ya uendeshaji wa biashara ya
vilainishi.
0 comments :
Post a Comment