Mkuu wa wilaya Sengerema amewasweka kwa saa 12 kaimu mkuruganzi na Mhasibu wa Halmashauri hiyo.soma zaid
Mkuu wa Wilaya Sengerema, Emmanuel
Kipole amewasweka ndani kwa saa 12
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya
Sengerema, Oscar Kapinga na Kaimu
Mhasibu wa halimashauri hiyo, Paul
Sweya pamoja kwa kutokutii agizo lake
aliliowapa la kutafuta fedha za kuwalipa
wanaofanya usafi katika mji wa
Sengerema.
Amefikia maamuzi hayo baada ya
watumishi hao kukaidi agizo lake
alilowapa la kutafuta fedha kisha kuwalipa
wafanya usafi hao ambao wanaidai
Halmashauri hiyo kwa miezi 6 na
imekuwa kila mara wanapigwa danadana
na kuahidiwa kulipwa lakini suala hilo
halitekelezeki.
0 comments :
Post a Comment