Watu 6 wameuwawa na Al- Shabab mandera nchini kenya.soma zaid
Watu sita wauawa na al-Shabab Mandera,
Kenya..
Watu sita wameuawa baada ya watu wenye
silaha kushambulia mtaa mmoja mjini Mandera,
kaskazini mashariki mwa Kenya.
Taarifa zinasema washambuliaji hao walivamia
eneo lenye nyumba za makazi Bulla usiku wa
manane.
Kituo kimoja cha redio kinachohusishwa na kundi
la al-Shabab kimesema wanamgambo hao ndio
waliotekeleza shambulio hilo.
0 comments :
Post a Comment