Njaa yaikabili nchi ya Burundi.soma zaid
Kiasi ya watu 600,000 wanakabiliwa na uhaba wa
chakula nchini Burundi kutokana na ukame na
mafuriko katika kipindi cha mwaka mmoja
uliopita na idadi hiyo inaweza kuongezeka hadi
kufikia 700,000 kwa mwaka ujao. Taarifa hiyo
imetolewa huku makundi ya kutetea haki za
binaadamu duniani, yakitoa wito wa kupelekwa
kikosi cha ulinzi wa raia kwa ajili ya kuzuia
uwezekano wa kutokea vita vya wenyewe kwa
wenyewe na mauaji ya kimbari.
0 comments :
Post a Comment