Kesi ya Lema na mkewe imehairishwa na hadi Feb 3,2017.soma zaid
Kesi ya Godbless Lema na mkewe
imehairishwa hadi Feb 3, 2017. Katika kesi hiyo,
Lema na mkewe wanashitakiwa kumtumia
ujumbe wa kuudhi RC wa Arusha Mrisho Gambo.
Upande wa utetezi umetoa notisi ya pingamizi la
awali dhidi ya hati ya mashitaka.chanzo mtanzania.
0 comments :
Post a Comment