Breaking News
Loading...

Advert

Tuesday, January 17, 2017

Luis Van Gaal astaafu rasimi ya kufundisha mpira.soma zaid

uis Van Gaal amestaafu
rasmi kazi hiyo kwa sababu za kifamilia.
Kocha huyu mwenye historia na rekodi
kadha wa kadha.
- Katika maisha yake ya soka amewahi
kuzinoa Klabu za Ajax Amsterdam,
Barcelona, Buyern Munich, AZ Alkmaar,
timu ya Taifa ya Uholanzi na Manchester
United.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top