Breaking News
Loading...

Advert

Sunday, January 15, 2017

Mo dewji akanusha uvumi kuwa amehojiwa na kituo cha radio times FM.soma zaid

Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya
Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL
Group), Mohammed Dewji amekanusha taarifa
ambazo zimesambaa katika mitandao mbalimbali
ya kijamii kuwa amefanya mahojiano na kituo
cha Redio cha Times FM kuhusu pesa
zilizochangishwa katika Tetemeko la Ardhi la
Kagera lililotokea mwezi Septemba, 2016.
Chanzo: MO Dewji Blog

0 comments :

Post a Comment

Back To Top