Breaking News
Loading...

Advert

Saturday, January 14, 2017

Wabunge wa chama cha republican wamepiga kura kubadil sheria ya Obama Care.soma zaid


Wabunge wa Congress nchini Marekani,
ambao wengi wanawakilisha chama cha
Republican, wamepiga kura ya kuanza
kubadilisha sheria ya Bima ya afya
inayofahamika kama Obama care
iliozinduliwa na rais Barrack Obama
Bunge la seneti pia limepitisha kura hiyo,
ambayo inahitaji kamati za bunge kuanza
kuandika upya sheria hiyo.
Hata hivyo baadhi ya wabunge
wameonekana kupinga kura hiyo,
wakisema ni lazima kuwe na sheria
mbadala, kabla ya kufuta ObamaCare.
Hata hivyo bwana Trump anayetarajiwa
kuchukua hatamu za uongozi wiki ijayo,
amesifu wabunge hao, na akaandika
kwenye Twitter, 'ObamaCare itazikwa
kwenye kaburi la sahau hivi karibuni.
Chanzo: BBC

0 comments :

Post a Comment

Back To Top